Lyrics

"Klabu ya Arsenal imerejea kileleni baada ya kufanikiwa kushinda mchezo wake dhidi Chelsea katika mchezo uliochezwa siku ya Jumanne Arsenal wakiwa nyumbani Emirates.

Katika mchezo huo The Gunners walikuwa na mukari baada ya kushuka kileleni katika ligi kukiwafanya wapate wakati mgumu baada ya ukame wa muda mrefu wa kombe.

Kupanda kileleni kwa Arsenal kunaweza kukawa kwa muda kutokana na Manchester City nao kupishana alama mbili pekee huku City wakiwa na mechi mbili ambazo hawajacheza, na mchezo unaofuata wa City ni baina yao na Westham United kabla ya kukutana na Leeds United.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up