Lyrics

"Karamu ya mabao kwa Manchester City ilifana mara baada ya kufanikiwa kuingia robo fainali ligi ya mabingwa Ulaya kwa kumuadhibu Red Bull Leipzig mabao saba kwa sifuri. Siku ya Jumamosi City wanaingia katika kinyang’anyiro cha kombe la FA dhidi ya Burnley.

Katia kuifikia safari ya robo fainali Burnley walifanikiwa kumtoa Fleetwood katika hatua ya 16 bora huku nao Manchester City wakimuangushia Briston City mabao matatu kwa sifuri.

Burnley walishuka daraja kutoka ligi kuu msimu uliopita na kuangukia ligi daraja la kwanza na hivyo City kwao si wageni lakini Manchester City wamekuwa na ushindi zaidi kwa Burnley.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up