Lyrics

"Bilionea kutokea nchini Iran mwenye asili ya Marekani Jahm Najafi anatarajiwa kuinunua klabu ya Tottenham Hotspur kwa kitita Cha Euro bilioni 3.1

Kwa mujibu wa gazeti la Financial times limesema tajiri huyo mwenye miaka 60 ambaye pia ni mmiliki wa kampuni ya michezo ya MSP Sports Capital wako mbioni kuinunua Spurs kwa asilimia 70 huku asilimia 30 zilizobaki kutumiwa na wawekezaji wenza watakaokubali kushiriki katika mchakato huo wa umiliki

Kwa makadirio ya thamani ya klabu ya Tottenham Hotspur ni takribani Euro bilioni 2.5 pamoja na deni la timu hiyo linalokadiriwa kufikia Euro milioni 610 na kukamilisha thamani halisi ya timu hiyo.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up