Lyrics

"Baada ya timu ya soka ya Manchester City kukabiliwa na tuhuma za kuvunja sheria za kifedha katika ligi kuu ya Uingereza Kwenye makosa zaidi ya 100, sasa timu hiyo imetoa taarifa kulingana na jinamizi hilo linalowaandama kwa sasa.

Kwenye taarifa hiyo waliyoitoa City walisema ya kuwa

"" Manchester City FC imeshangazwa na kutolewa kwa madai haya ya ukiukaji wa Kanuni za Ligi Kuu, haswa kutokana na ushiriki mkubwa na mahitaji mengi ya kina ambayo EPL imepewa.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up