Lyrics

"Ni katika uwanja wa The American Express community ambapo Brighton and hove Albion wanawakarimu Liverpool na kuwakaribisha katika mechi ya mzunguko wa 4 kombe la FA siku ya Jumapili.

Moja kati ya wachezaji ambao watakuwa tishio kwa Liverpool ni pamoja na winga Kaoru Mitoma mjapani ambaye amekuwa na uwezo mzuri katika mbio pindi ashikapo mpira kuelekea lango pinzani.

Jurgen Klopp kwa upande wake ameendelea kuandamwa na majeruhi ambao wanafanya kikosi hicho cha Liverpool kikose ubora wake mchezoni. Majeruhi hao ni pamoja na wachezaji wa safu ya mashambulizi Luis Diaz, Diego Jota pamoja na Roberto Firmino, wengine ni pamoja na beki wao Virgil van Dijk.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up