Lyrics

The White Lily Tottenham Hotspur wikiendi hii wanakutana na Portsmouth, Spurs wakiwa katika uwanja wao wa nyumbani katika mechi ya FA.

Tottenham baada ya kombe la Dunia hawakuanza vyema mchezo wao wa kwanza baada ya kupoteza mbele ya Aston Villa kwa ushindi wa bao mbili kwa sifuri lakini katika mchezo wao wa mwisho dhidi ya Crystal Palace walifanikiwa kushinda mabao 4-0.

Kwa upande wao Portsmouth ambao wanashiriki ligi daraja la pili League 1 hawako katika hali nzuri sana wakiwa nafasi ya 12 na wamefanikiwa kushinda mchezo mmoja katika michezo tano michezo miwili wakitoa sare na kupoteza michezo miwili na hiki halifawanyi wawe katika nafasi salama sana.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up