Lyrics

"costa rica wtakuwa wakishiriki kombe la dunia kwa mara ya 6 sasa,hii ikiwa ni ya tatu mtawalia.kikosi hiki kinachofunzwa na kocha luis fernarndo suarez kitajaribu kuzifufua kumbukumbu za kombe la dunia la 2014 walipomaliza kileleni mwa kundi wakiondolwa kwenye robo fainali na uholnzi watakapokbiliana na mabingwa wa 2010 uhispania wanaoshiriki kombe la duni kwa mara ya 16,ujarumani ambao ni mabingwa mara nne wa dunia na japan vigogo wa asia.
Kwenye orodha y fifa costa rica inaorodheshwa ya 31,nafasi ya 13 ikiwa ndiyo nafasi nzuri kwao kuwahi orordheshwa na fifa,mwaka w 2015.japo ukilinganisha vikosi ,uzoefu nafasi za costa rica kutinga rauni ya 16 ni finyu japo makubwa hufanyika kwenye kombe la dunia.mlinda lango wa psg keyler navas ana uzoefu kwenye kikosi akiskata mechi 107 sawa na nahodha bryan ruiz aliyeisakatia mechi 144.
"
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up