Lyrics

"Wakati maandalizi ya kombe la dunia yakikaribia kufikia tamati na kuanza kutimua vumbi timu mbalimbali zimeendelea kupata majeruhi ambao wanaweza kugharimu vikosi vyao katika mashindano hayo yaliyobakiza siku chache yaanze kufanyika huko mchini Qatar.

Moja kati ya wanasoka wanaokipiga huko RB Leipzig Timo Werner ambaye pia ni mchezaji wa timu ya Taifa ya Ujerumani amepata majeraha ya kifundo cha mguu wakati timu yake ya RB Leipzig ilipokuwa ikivaana na Shakhtar Donetsk katika ligi ya mabingwa Ulaya na kuibuka na ushindi wa bao 4 kwa sifuri.

Katika mchezo huo ambao RB Leipzig waliibuka na ushindi wa bao nne kwa sifuri ulimfanya mchezaji huo atolewa nje ya mchezo kwa majeraha hayo ya kifundo cha mguu na huenda akayakosa mashindano hayo ya kombe la dunia yatakayo anza mwishoni mwa mwezi Novemba .
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up