Lyrics

"Mchezaji wa zamani wa Liverpool na kocha wa Aston Villa mapema wiki hiii amefungishwa virago vyake na kuacha kazi kama kocha mkuu wa Villa.Hii ni baada ya kipigo cha bao tatu kwa sifuri walipofungwa siku ya Alhamis na Fulham.

Baada ya kipigo hicho Aston Villa sasa wanashikilia nafasi ya kumi na saba katika ligi ya Uingereza. Kupitia mitandao ya kijamii ya Klabu hiyo pamoja na tovuti ya Aston Villa waliandika ya kuwa “..Tunamshukuru Steven kwa kazi yake na kujitoa kwake katika klabu na tunamtakia kila la heri huko mbeleni..”

Kiungo huyo wa zamani aliyekuwa akikipiga huko Liverpool kwa miaka kumi na saba alijiunga huko Villa Park kama kocha mnano Novemba 2021 baada ya kutokea Rangers alipokua akipakufunzi kwa miaka mitatu baada ya kuchukua nafasi ya Dean Smith aliyekuwa kocha wa Aston Villa kwa wakati huo.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up