Lyrics

"Wakati kina Zlatan Ibrahimovic na Lee Grant wakiwa hawana hata dalili za kustaafu katika mchezo wa soka kama wachezaji, mchezaji wa zamani wa Chelsea ya Uingereza, Inter Milan na Juventus za huko Serie A pamoja na Real Madrid ya huko Hispania Gonzalo Higuain al-maarufu kama El Pipita ametangaza rasmi kustaafu katika maisha ya kusakata kabumbu baada ya kutumikia soka kwa miaka kumi na saba.

Akiwa na asili ya Argentina na Ufaransa akikipiga huko Inter Miami, Pipita mwenye miaka 34 haikuwa rahisi kwa yeye kutoa kauli hiyo mbele za vyombo vya habari na kupelekea kutoa machozi. Katika taarifa hiyo straika huyo alipata wasaa wa kuishukuru familia yake pamoja na mashabiki kwa mapenzi waliyomuonesha muda wote wakati akiwa na timu mbalimbali za soka.

Katika hiyo miaka kumi na saba aliyotumika katika soka Gonzalo tayari ana vikombe kumi na nne, katika michezo 782 aiyowahi kuicheza na kufanikiwawa kuweka kambani magoli 361 mpaka hivi sasa.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up