Lyrics

"Zikiwa zimebaki siku chache kutolewa kwa tuzo za Ballon D'or Octoba 17 katika jiji la Paris, nyota wa timu ya Bayern Munich Sadio Mane ameingia tena katika vichwa vya habari baada ya kumtaja Karim Benzama kama mchezaji anayestahili kuchukua tuzo hiyo katika kinyang’anyiro ambacho wote wakiwa katika kipengele kimoja.

Katika mahojiano hayo mchezaji huyo mwenye asili ya Senego alisema “........amekuwa na msimu mzuri sana na Real Madrid ameshinda ligi ya Mabingwa na vikombe vya La Liga …..nadhani kiurahisi tu anastahili na nimefurahi juu yake…”. Mshambuliaji huyo aliyasema hayo licha ya kujua fika ya kuwa yeye pia aliisaidia Senego kushinda mashindano ya AFCON kwa mara ya kwanza kwa msimu uliopita wa 2021-2022.

Katika tuzo hizo za Ballon d’or Sadio Mane na Karim Benzema pia wanachuana na wachezaji wengine kama vile Robert Lewandowski wa Barcelona, Kylian Mbappe wa PSG, Cristiano Ronaldo wa Manchester United pamoja na Mohamed Salah akitokea Liverpool
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up