Lyrics

"Uingereza Jumatatu hii waliwakaribisha Ujerumani katika uwanja wa Wembley. Katika mchezo huo ulioisha kwa sare ya bao tatu kwa tatu Ujerumani ndio walioanza kupata bao la kwanza katika kipindi Cha pili.

Gareth Southgate akiwa Kama kocha wa Uingereza alishuhudia timu yake ikitanguliwa mabao mawili mbele yaliyofungwa na Iikay Gundogan kwa mkwaju wa penalti katika dakika ya 52 baada ya Harry Maguire kufanya madhambi pamoja na Kai Harvetz kufunga goli katika dakika ya 67.

Mchezo ukapamba Moto zaidi kwa Uingereza baada ya Luke Shaw kufunga bao la kwanza katika dakika ya 72 na dakika 75 Mason Mount naye akasawazisha baada ya kupokea pasi ya usaidizi wa goli kutoka kwa Bukayo Saka.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up