Lyrics

"Baada ya umiliki mpya wa chelsea ukiwa chini ya Todd Boehly kuanza kazi kwa takribani siku 100 na zaidi zilizopita, sasa uongozi huo umeamua kumfuta kazi kocha Thomas Tuchel mapema Jumatano ya tarehe 7 ya mwezi wa tisa.

Kupitia kurasa zao za mitandao ya kijamii kama vile Twitter pamoja na Instagram klabu hiyo ya soka imeandika waraka ukielezea kumfuta kazi kocha huyo pamoja na benchi lake la ufundi. Kufukuzwa huko kwa kocha huyo ni kutokana na matokeo mabaya waliyoyapata katika ligi kuu ya Uingereza pamoja na kuanza mechi ya mabingwa Ulaya kwa kufungwa bao moja na Dinamo Zagreb.

Uongozi huo mpya wa Chelsea umekwazika na kiwango cha uchezaji cha timu hiyo licha ya Thomas kupatiwa kitita cha pesa na kufanya usajiili kwa wachezaji aliowahitaji katika msimu huu.Wachezaji aliowasajili kwa msimu huu ni kama vile Raheem Sterling kutokea Manchester city, Pierre Emerick Aubameyang alitokea Barcelona pamoja na wachezaji wengine
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up