Lyrics

"Mzunguko wa tatu wa Ligi kuu ya Uingereza unaenda kuanza. Katika uwanja wa Goodison Park Everton wakiwa nyumbani wanawakarimu Nottingham Forest siku ya Jumamosi katika kuzisaka alama tatu.

Forest wakiwa ndio wamepanda daraja katika msimu huu hawajaanza Ligi vibaya Sana baada ya kutoa sare mechi moja huku wakiwa wamepoteza mechi Moja.
Lakini kwa upande wa wenyeji wa mechi hiyo Everton wao wameshindwa kung'ara katika mechi mbili za awali baada ya kufungwa mechi zote.

View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up