Lyrics

"Baada ya kauli ya Rais wa PSG kuweka matatani hatma ya mshambuliaji wa kimataifa wa timu hiyo Neymar Jr, Sasa Pep Guardiola naye amekazia kamba katika suala la mchezaji huyo kuhamia katika klabu yake ya Manchester City.

Wakati akifanya mahojiano na vyombo vya habari kocha wa Manchester City Pep Guardiola amekanusha uvumi wa City kuitaka huduma ya Neymar Akitokea huko Ligue 1.

Hili linaweza kuwa pigo lingine kwa kijana huyo wa miaka 30 ambaye amekuwa na PSG tangu msimu wa mwaka 2017 .Pia Neymar hajaonesha Nia ya kuondoka klabuni hapo kwani hajatoa tamko lolote mpaka Sasa.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up