Lyrics

"Baada ya Darwin Nunez na Calvin Ramsey Sasa hatimaye liverpool wametangaza kudondosha wino wa usajili kwa kiungo mshambuliaji Fabio Carvalho kinda aliyetokea Fulham.

Carvalho amesajili kwa Mkataba wa miaka mitano Akitokea Fulham. Mchezaji huyo amesajiliwa Kama mchezaji huru baada ya mkataba wake kukamilika mapema mwezi Juni mwaka huu huku Fulham.

Kinda huyo mwenye miaka 19 anaweza kuwa Mkakati wa muda mrefu wa Klopp Kama ilivyokuwa kwa Mohamed Salah pamoja na Sadio Mane aliyekimbilia Bayern.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up