Lyrics

"Baada ya kudumu na klabu ya Arsenal kwa takribani miaka 5 huko Emirates stadium, Sasa Alexandre Lacazette ameamua kurejea Lyon ya Ufaransa baada ya mkataba wake kuisha mwishoni mwa msimu huu huko Premier League Uingereza.

Lacazette mwenye umri wa miaka 31 aliyesajiliwa kutoka klabu hiyo hiyo ya Lyon ameamua kuirejelea tena klabu hiyo iliyomkuza baada ya mwaka 2017 kuondoka katika klabu hiyo na kusajiliwa Arsenal kwa jumla ya Euro millioni 60 pamoja na bonus.

Tangu ajiunge na klabu hiyo ya Arsenal mshambuliaji huyo amecheza jumla ya mechi 206 na katika mechi hizo ameweza kufunga jumla ya mabao 71 na kutengeneza pasi za usaidizi wa magoli 30 akiwa na timu hiyo.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up