Lyrics

"Baada ya kukataa kuongeza mkataba na Chelsea Sasa Basi, habari zilizopo ni kuhusiana na Antonio Rudriger beki wa Kati wa Chelsea kujiunga na Real Madrid kwa mkataba utakaodumu kwa takribani miaka minne huko Santiago bernabeu akiwa Kama mchezaji huru.

Toni ambaye alijiunga na wababe hao wa Stanford bridge mnamo mwaka 2017 kutokea Roma na alisajiliwa kwa jumla ya Euro milioni 29 katika msimu wa mwaka huo.

Mchezaji huyo wa timu ya Taifa ya Ujerumani inasemekana anatarajiwa kulipwa kiasi cha Euro 340,000 kwa wiki akiwa katika viunga hivyo vya Bernabeu lakini pia mwaka 2021 Chelsea walijaribu kusaka saini ya mchezaji huyo wa safu ya ulinzi mnamo mwezi wa 8 na kutakiwa kulipwa kiasi cha Euro 140,000 lakini alitupilia mbali dili hilo.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up