Lyrics

"Kama kuna kitu ambacho kimepelekea José Mourinho awe ni ""Special One"" ukiachana na ubishi pamoja na Tambo zake ni utashi na rekodi alizoziweka na kuweza kufundisha Ligi kubwa nne duniani ambazo ni English Premier League ya Uingereza, Serie A ya Italia, Primeira Liga ya Ureno pamoja na La Liga ya Hispania ambazo Ligi zote hizi ameweza kuleta changamoto, ushindani hata kwa timu pinzani katika Ligi hizo na ubingwa katika timu alizofundisha

SAFARI YAKE YA UKOCHA
Mreno huyo mwenye umri wa miaka 59 alianza kazi ya ukocha mwaka 2000 kwenye klabu ya Benfica ya huko nchini Ureno, wasifu wake ulizidi kung'aa alipojiunga na FC Porto mwaka 2002 kisha kutimkia darajani mwaka 2004 ambapo alihudumu kwa misimu mitatu.

View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up