Lyrics

"Baada ya kuambulia kichapo Cha bao 5-1 dhidi ya Manchester City Sasa basi Wolveshampton Wanderers wanawakaribisha Norwich City katika uwanja wao wa Molineux Stadium katika mzunguko wa Ligi kuu ya Uingereza.

Wolves ambao wako Katika nafasi ya 8 EPL tayari wameambulia kichapo katika mechi zao 4 Kati ya mechi tano za hivi Karibuni na kutoa sare mechi moja waliyocheza dhidi ya Chelsea, tayari wao wana alama 50 katika Ligi hiyo.

wakati wao Norwich wakiwa na kila dalili ya kushuka katika Ligi kuu hiyo ya Uingereza baada ya wao kuwa ndio Wanaburuza mkia wakishika nafasi ya 20 na kufungwa katika mechi zao zote 5 za mwisho katika ligi hiyo na ni Kama moja dalili kuwa katika msimu ujao Norwich wana asilimia kubwa sana za kutoshiriki.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up