Lyrics

"Ni katika uwanja wa Tottenham Hotspurs stadium jioni ya leo ambapo Spurs wanavaana na Arsenal katika mzunguko wa 22 wa kiporo cha EPL kilichohairishwa kutokana na ripoti ya Corona iliyotolewa na Arsenal.

Hii ikiwa ni dabi ya London Kaskazini iliyosubiriwa Sana na mashabiki Sasa kiu yao inaenda kukatika Leo kwani vijana wa Antonio Conte wanahitaji alama 3 muhimu ili kujisogeza katika nafasi ya 4 ya kushiriki UEFA Champions League huku wao The Gunners pia wakitaka alama 3 ili pia waweze kujihakikishia kushiriki UEFA Champions League tangu Mara ya mwisho waliposhiriki katika msimu wa mwaka 2015-2016.

Mpaka Sasa The Gunners wakiwa nafasi ya 5 inasemekana Ben White pamoja na Bukayo Saka kuna uwezekano wa kurejea uwanjani katika mechi hii huku Thomas Partey pamoja na Kieran bado wako nje kwa majeraha .
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up