Lyrics

"Klabu ya soka ya Yanga imeingia matatani mara baada wadhamini wakuu wa timu hiyo Sportpesa kuidai fidia pamoja na msamaha kutoka kwa Yanga kwa kile walichodai ni kukiukwa kwa makubaliano ya kimkataba.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Sportpesa imeeleza jinsi klabu ya Yanga ilivyoamua kuingia mkataba na kampuni nyigine kama wadhamini wakuu wa timu hiyo katika mashindano ya kombe la shirikisho wa Afrika.

Siku ya tarehe 30 Young Africans waliandaa hafla ya uzinduzi wa jezi pamoja na usainiwaji wa mkataba na kampuni ya Haier uliofanyika katika hoteli ya Serena.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up