- 0:49
Raha Review - Mdundo Podcast
Nandy
Discover more artists
More songs by Nandy
Nimekuzoea2:43
Mchumba3:36
Kivuruge3:51
Siwezi3:04
Leo Leo feat. Koffi Olomide3:07
Number One feat. Joeboy3:20
Nibakishie Ft Ali Kiba3:47
One Day3:36
Kunjani feat Sho Madjozi4:22
Kiza Kinene ft. Sauti sol3:36
Ninogeshe3:55
Wasikudanganye4:13
Powerful4:01
Hazipo3:37
Mahabuba4:05
Baikoko3:14
Napona ft Oxlade2:49
Aibu3:03
Mimi ni wajuu3:51
News
- Mchumba Lyrics by Nandy
27 October
- Nandy Apokea Cheti Cha Grammy
26 August
Raha - Nandy
“Raha” ni wimbo wa pili kutoka kwa Nandy kwa mwaka 2023 na bila shaka mashabiki wameupokea vizuri wimbo wenye mahadhi ya Bongo Fleva na ambao mashahiri yake yanahusu namna ambavyo Nandy anapata raha kwenye mapenzi.
Katika Wimbo huu Nandy anaendelea kudhuhirisha ubabe wake wa Sanaa kwenye video yenye uzuri wa aina yake. Video hii inaonyesha Nandy akiwa miongoni mwanajeshi katika msitu mmoja huku akiwaza jinsi anavyompenda mpenzi wake.
Hukum video hii ikiwa na maudhui ya mistari ya wimbo hu utu , mashabiki wameikubali kazi hii mpya ya Nandy . Vile vile wengi wanatarajia kuwa aatchia albamu mpya hivi karibuni.
Zaidi ya hayo, wimbo huu mzuri ni ufuatiliaji wa uimbaji wake wa awali wa "Falling," ambao bado unasikika kupitia mitandao ya mziki.
Wimbo huu uliandikwa na mtunzi mahiri wa nyimbo Lody Music na kutayarishwa na Kimambo.