Mchumba Lyrics by Nandy

Download FREE Mp3 Music by Nandy on Mdundo.com

Kaniweza mimi mi kwake
Muoga kunguru nifanyeje ajue
Nitakufa mimi baby roho yangu
Inusuru nifanyeje ujue

Nikuhonge au Aaah
Nikuposti au nikupe mmmmh au Aaaah
Nikuhonge au Aaah
Nikuposti au nikupe mmmmh au Aaaah

Mchumba unataka nini mchumba (Aiyeke iye)
Roho unataka nini (Aiyeke Iye)
Mchumba unataka nini mchumba (Aiyeke iye)
Roho unataka nini roho (Aiyeke Iye) 

Kidege kinaondokaaa
Kidege kinaondokaaa Aiya yayaa
Kinaondokaaa Aiya yayaaa kinaondokaa

Shi kshu kshi shi shi Kshi kshu
Kshi kshi kshi Kshi kshu kshi kshi
Kshi Kshi kshu kshi kshi kshi

Mwenzenu nampenda nampenda sana
Akiniacha mnizike mje mnizike

Ajue mapema mapema sana akiniacha mnizike
Nikuhonge au Aaah
Nikuposti au nikupe mmmmh au Aaaah
Nikuhonge au Aaah
Nikuposti au nikupe mmmmh au Aaaah

Mchumba unataka nini mchumba (Aiyeke iye)
Roho unataka nini roho (Aiyeke Iye)
Kidege kinaondokaaa
Kidege kinaondokaaa Aiya yayaa
Kinaondokaaa Aiya yayaaa kinaondokaa

Shi kshu kshi shi shi Kshi kshu
Kshi kshi kshi kshi Kshi kshu
Kshi kshi kshi Kshi kshu kshi kshi

Kidege kinaondokaaa
Kidege kinaondokaaa Aiya yayaa
kinaondokaaa Aiya yayaaa kinaondokaa

Leave your comment

Top stories

More News