- 1:32
Diamond Platnumz X Zuchu Mtasubiri - Uchambuzi
Diamond Platnumz
Lyrics
Ngoma ya Mtasubiri ilikuja katika kipindi ambacho tetesi za Diamond Platnumz na Zuchu kuwa kwenye mahusiano zilikuwa zimepamba moto na ukweli ni kwamba wimbo sio tu kwamba ulilenga kujibu shutuma za wawili hao kuwa kwenye mahusiano lakini pia ""timing"" ilizua maswali mengi sana.Mtasubiri ni ngoma ambayo inamfanya Zuchu kuwa kati ya wasanii wachache wa kike kwenye Bongo Fleva kushirikishwa na Diamond Platnumz kwenye wimbo na kutokana na ufundi wake kwenye muziki, ukweli ni kwamba Zuchu ametendea haki ngoma hii ya Mtasubiri ambayo imetayarishwa na Lizer Classic wa Wasafi Record.
Ikiwa na vionjo vya Bongo Fleva na Baibuda kwa mbali, Mtasubiri imejengwa juu ya mashahiri mazuri, beat zuri na jepesi ambalo linafaa kukaribisha maharusi ukumbini na kubwa zaidi ni muingiliano mzuri wa sauti baina ya Diamond Platnumz na Zuchu ambao sauti zao zimetendea haki ngoma hii ambayo pia imepata uteuzi kwenye tuzo za Afrimma 2022.
View more
More songs by Diamond Platnumz
- Diamond Platnumz- Yatapita Review1:05
- Komasava (Review)1:15
- Komasava Remix (Review)1:15
- Melody Diamond Platnumz ft Jaywillz1:15
- Diamond Platnumz- Zuena Review1:10
- Achii Ft. Koffi Olomide (Review)0:48
- My Baby Featuring Chike Review-Mdundo Podcast1:21
- Oka Diamond Platnumz Ft. Mbosso - Uchambuzi1:17
- Mapoz (Review) Feat Mr.Blue and Jay Melody1:21
- Raha (review)1:16
- Ntampata Wapi (Review)1:00
- Zuwena (Review)1:17
- Nitarejea (Review)0:56
- The one (Review)1:02
- Inama (Review)1:15
- Waah (Review)1:03
- Sikomi (Review)1:07
News
- Diamond Platnumz Aachia "Overdose"
25 August
- Lyrics: Zuchu - Unataniua
10 February
Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.
By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.
Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.