Lyrics

"Baada ya kukutana kwenye Baikoko pamoja na Karibu, Diamond Platnumz na Mbosso waliungana tena kwenye ngoma ya Oka ambayo ni moja ya ngoma ambayo imepokelewa vizuri sana na mashabiki.

Kutokana na historia ya Mbosso kupenda kufanya ngoma zenye mahadhi ya kihindi, Bongo Fleva na hata Baibuda, ngoma ya Oka ilileta mshtuko kwa wapenda muziki wengi nchini Tanzania kwani kwa mara ya kwanza Mbosso alipita kwenye muziki wa Lingala ambao una asili yake huko nchini Congo, kitu ambacho kiliaminisha wengi kwamba Mbosso anaweza kufanya aina yoyote ya muziki, akiamua.

Kwa upande wa Diamond Platnumz, Oka ni muendelezo wa kampeni yake ya kutafuta mashabiki nchini Congo kwani kabla ya ngoma hii, Diamond Platnumz alishafanya ngoma tofauti tofauti za kikongo kama Waah akiwa na Koffi Olomide, Inama akiwa Fally Ipupa pamoja na Yope Remix aliyoshirikishwa na Innos B.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up