Lyrics

Mwanamuziki na mmiliki was lebo ya WCB Wasafi Nassib Abldul Al-maarufu kama Diamond Platnumz amefanikiwa kuachia ngoma yake iliyopewa jina la Melody na kumshirikisha Jaywillz kutokea Nigeria.

Wimbo wa Melody ni wimbo wa kwanza katika EP inayojulikana kama First of all ikiwa na jumla ya midundo 10, pia jiwe hili la melody ni moja kati ya kolabo mbili ambazo Diamond ameshirikisha wasanii kutokea Nigeria katika EP hiyo.

Melody ni wimbo wa sifa ambao Diamond akiwa mshindi wa tuzo mbalimbali ikiwemo tuzo za The Headies pamoja na Jaywillz wameweza kumwaga sifa mbalimbali za wandani wao na kujazia ya kuwa utamu wake ni kama Melodi nzuri iliyojawa na nakshi katika wimbo
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up