- 1:38
Dear Ex Marioo - Uchambuzi
Marioo
Lyrics
Nyota wa muziki kutokea nchini Tanzania Omary Ally Mwanga almaarufu kama Marioo mwezi wa Juni aliachia jiwe lingine kwa wapenzi wa muziki aliloliita Dear ex. Wimbo huo ni wimbo wa nne kuuachia tangu nwaka huu 2022 uanze.Kwa Marioo huu ni mwaka bora sana kwake kwani katika kazi zote alizoziachia mwaka huu zimekuwa zikifanya vizuri kama Mi amor aliyomshirikiaha Jovial kutokea Kenya, Naogopa aliyoifanya na Harmonize pamoja na Yanga anthem ambayo hii ni kazi aliifanya mwenyewe.
Dear Ex ni wimbo ambao Marioo amemuongelea mpenzi wake wa zamani ya kuwa hawezi kurudiana naye kwani yuko sehemu salama zaidi. Uhodari wake katika wimbo huu unenogeshwa na pale aliposema…. Sirudiagi makabichi, kacheze unapochezaga… ' hapa akimaanisha ya kuwa Ex wake huyo hana nafasi tena katika moyo wake.
View more
More songs by Marioo
- Naogopa ft. Harmonize4:00
- Inatosha3:45
- Mi Amor ft Jovial3:05
- Anisamehe Ft Rayvanny4:04
- Mama Amina4:23
- Unanionea3:33
- Raha3:27
- Unanikosha2:43
- Aya3:42
- Subira3:14
- I miss your love ft Alikiba4:00
- Mapenzi3:14
- Only You ft Jux3:52
- 2025 (Acoustic)1:58
- Beer Tam ft Tylericu, Dj Visca, Abbah Process4:53
- siwezi3:39
- My life3:11
- Dar Kugumu3:57
- WOW2:42
News
- Collabo 10 Bora Tanzania 2022
20 December
Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.
By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.
Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.