Nyimbo Mpya: Mario Aaachia "THE KID YOU KNOW DELUXE” Album


[Picha: Instagram]

Mwandishi-Charles Maganga 


DOWNLOAD LATEST BONGO MUSIC MP3

Fundi wa muziki kutoka kwenye kiwanda cha Bongo Fleva, Marioo kwa mara nyingine ameamua kukosha mashabiki zake baada ya kuachia toleo jipya kabisa la album yake ya “The Kid You Know” 

Toleo hilo jipya lililopewa jina la “The Kid You Know Deluxe” linakuja takriban miezi 5 tangu Marioo aachie albamu hiyo. Miezi michache nyuma “The Kid You Know” ilitajwa kuwania kipengele cha album bora ya mwaka kwenye tuzo za Tanzania Music Awards 2023. 

Katika toleo hili jipya la “The Kid You Know” Marioo ameongeza ngoma nne ambazo ni “Nikazama” “Sing” “Tomorrow” pamoja na “Tunamjua” hivyo kupelekea orodha ya nyimbo kuongezeka kutoka 17 mpaka 21

Aidha watayarishaji wa muziki waliohusika katika kutayarisha kazi hii ambayo inatarajiwa kufanya vizuri kwa mwaka huu ni pamoja na S2kizzy, Producer Sky pamoja DJ Mushizo. 

Quick Links

Daily Mixes
DOWNLOAD LATEST BONGO MUSIC MP3
DOWNLOAD LATEST TZ MUSIC MP3
DOWNLOAD LATEST BEST SONGS 2022 MP3

DOWNLOAD LATEST TOP 10 SONGS OF TODAY MP3

DOWNLOAD LATEST MUSIC ALBUMS/EP MP3

DOWNLOAD LATEST TOP 10 SONGS OF 2023 MP3

DOWNLOAD LATEST TOP 10 SONGS OF TODAY MP3

DOWNLOAD LATEST TOP 10 SONGS OF THE WEEK MP3

DOWNLOAD LATEST AFRICAN MUSIC MP3

DOWNLOAD LATEST GHANA MUSIC MP3

DOWNLOAD LATEST KENYA MUSIC MP3

DOWNLOAD MP3 NAIJA MUSIC LATEST

FREE Hot DJ Mixes to Download this Week on Mdundo

Leave your comment