- 2:11
Ubashiri mechi ya Manchester City Vs Real Madrid- UEFA Champions
Football Predictions-Mdundo Podcast
Lyrics
"Ni Jumanne nyingine Tena ya usiku wa nusu fainali za mabingwa wa Ulaya pale Manchester city wanapowakaribisha Real Madrid katika uwanja wao wa nyumbani wa Etihad Stadium katika kuwania ubingwa wa UEFA CHAMPIONS LEAGUEManchester City ambao walimtoa Atletico Madrid katika hatua ya robo fainali Sasa wanaenda kuoneshana makali na Los Blancos wa jiji la Madrid ambao na wao walimtoa bingwa mtetezi wa UEFA Msimu uliopita wa 2021-2022 Chelsea kwa tofauti ya mabao 5-4.
Katika msimu uliopita The cityzen wao ndio walikipika fainali dhidi ya Chelsea lakini hawakuambuli kitu zaidi ya kipigo Cha bao 1-0 na Chelsea kuchukua ubingwa huo wa UEFA, Sasa ni Kama hasira ya City imerudi kutaka kuchukua tonge lao walilonyang'anywa mdomoni.
View more
More songs by Football Predictions-Mdundo Podcast
Yanga Vs Simba Sc Jumamosi hii1:33
Football Analysis2:46
Man City vs Liverpool1:11
Manchester United Bio2:09
Real Madrid vs Man City0:54
Real Madrid vs Real Sociedad1:00
Real Madrid vs Barcelona1:28
Real Madrid vs Atletico Madrid0:53
Real Madrid vs Real Sociedad Predictions4:11
UEFA Nations Leauge Preictions 0906221:39
Barcelona, Messi Vs Sevilla Match predictions 2021 : manchester united, Crystal palace6:51
Chelsea vs Man United PL 2811211:10
Real Madrid Updates1:54
Everton Football Club Bio1:58
Lionel Messi's new club 20231:25
Real Madrid vs Liverpool - UCL #Tue_Predictions1:46
Real Madrid Vs Chelsea1:27
Cristiano Ronaldo, Lionel Messi1:07
Yanga vs Coastal Union Uchambuzi1:27
Real Madrid vs Barcelona - LL 2003221:12
News
Download music from your favorite artists for free with Mdundo. Mdundo started in collaboration with some of Africa's best artists. By downloading music from Mdundo YOU become a part of supporting African artists!!! Mdundo is financially backed by 88mph - in partnership with Google for entrepreneurs.
Mdundo is kicking music into the stratosphere by taking the side of the artist. Other mobile music services keep 85-90% of sales. What?!, Yes, the majority of the cash lands in the pockets of big telcos. Mdundo enables you to keep track of your fans and we split any revenue generated from the site fairly with the artists.