Lyrics

"Ni Jumanne nyingine Tena ya usiku wa nusu fainali za mabingwa wa Ulaya pale Manchester city wanapowakaribisha Real Madrid katika uwanja wao wa nyumbani wa Etihad Stadium katika kuwania ubingwa wa UEFA CHAMPIONS LEAGUE

Manchester City ambao walimtoa Atletico Madrid katika hatua ya robo fainali Sasa wanaenda kuoneshana makali na Los Blancos wa jiji la Madrid ambao na wao walimtoa bingwa mtetezi wa UEFA Msimu uliopita wa 2021-2022 Chelsea kwa tofauti ya mabao 5-4.

Katika msimu uliopita The cityzen wao ndio walikipika fainali dhidi ya Chelsea lakini hawakuambuli kitu zaidi ya kipigo Cha bao 1-0 na Chelsea kuchukua ubingwa huo wa UEFA, Sasa ni Kama hasira ya City imerudi kutaka kuchukua tonge lao walilonyang'anywa mdomoni.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up