- 1:33
Yanga Vs Simba Sc Jumamosi hii
Football Predictions-Mdundo Podcast
Lyrics
"Young African Jumamosi hii wanaisimamisha Tena Dar es salaam wanapovaana na Simba sports Clubs katika ligi kuu NBC katika uwanja wa Benjamin Mkapa stadium katika mechi yao ambapo wanajulikana Kama watani wa jadiYanga wakiwa ndio wanaongoza ligi kuu ya NBC wakifuatiwa na watani wao hao wekundu wa Msimbazi wanakila dalili ya kuwa mabingwa wa Ligi hiyo kwani mpka Sasa tayari wana alama 54 wakifuatiwa na Simba wao wakiwa na alama 41
Yanga kwa Sasa hawajapoteza katika mechi 8 mfululizo Wala kutoka Sara katika Ligi kuu Tanzania bara katika mechi huku wao Simba wakiwa wamepoteza mechi moja dhidi ya Orlando Pirates ya Afrika kusini katika robo fainali za kombe la Shirikisho.
View more
More songs by Football Predictions-Mdundo Podcast
Manchester United Bio2:09
Man City vs Liverpool1:11
Football Analysis2:46
Real Madrid vs Real Sociedad Predictions4:11
Lionel Messi's new club 20231:25
Barcelona, Messi Vs Sevilla Match predictions 2021 : manchester united, Crystal palace6:51
Real Madrid vs Liverpool - UCL #Tue_Predictions1:46
Real Madrid vs Man City0:54
Chelsea vs Man United PL 2811211:10
Real Madrid vs Real Sociedad1:00
Real Madrid vs Atletico Madrid0:53
Real Madrid vs Barcelona1:28
UEFA Nations Leauge Preictions 0906221:39
Real Madrid Updates1:54
ManU News - Worst Defeat1:28
Real Madrid Vs Chelsea1:27
Yanga vs Coastal Union Uchambuzi1:27
Cristiano Ronaldo, Lionel Messi1:07
Real Madrid vs Barcelona - LL 2003221:12
News
Download music from your favorite artists for free with Mdundo. Mdundo started in collaboration with some of Africa's best artists. By downloading music from Mdundo YOU become a part of supporting African artists!!! Mdundo is financially backed by 88mph - in partnership with Google for entrepreneurs.
Mdundo is kicking music into the stratosphere by taking the side of the artist. Other mobile music services keep 85-90% of sales. What?!, Yes, the majority of the cash lands in the pockets of big telcos. Mdundo enables you to keep track of your fans and we split any revenue generated from the site fairly with the artists.