Lyrics

"Ni katika marudiano ya robo fainali za michuano ya kombe la Shirikisho Afrika wakati Simba sports Clubs walipowasili katika viwanja vya Orlando Pirates Johannesburg katika hatua za kuwania kufudhu nusu fainali za kombe Hilo la shirikisho.

Katika mchezo huo umiliki wa mpira kwa Orlando Pirates ulikuwa wa 67% huku Simba wao wakimiliki mpira kwa 32% tu. mashoti katika lango la Simba,Orlando walipiga jumla ya mashuti 19,na Simba wao walipiga jumla ya mashuti 2 tu na yote yakiwa nje ya lango la Buccaneers hao.

Katika mechi hiyo iliyojawa na mihemko ya aina ya kei, ilipofika dakika ya 58 ya mchezo huo Chriss Mugalu mchezaji wa Simba aliadhibiwa kadi nyekundu baada ya kumchezea madhambi Olisa Ndah.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up