Lyrics

"Young African Jumamosi hii wanaisimamisha Tena Dar es salaam wanapovaana na Simba sports Clubs katika ligi kuu NBC katika uwanja wa Benjamin Mkapa stadium katika mechi yao ambapo wanajulikana Kama watani wa jadi

Yanga wakiwa ndio wanaongoza ligi kuu ya NBC wakifuatiwa na watani wao hao wekundu wa Msimbazi wanakila dalili ya kuwa mabingwa wa Ligi hiyo kwani mpka Sasa tayari wana alama 54 wakifuatiwa na Simba wao wakiwa na alama 41

Yanga kwa Sasa hawajapoteza katika mechi 8 mfululizo Wala kutoka Sara katika Ligi kuu Tanzania bara katika mechi huku wao Simba wakiwa wamepoteza mechi moja dhidi ya Orlando Pirates ya Afrika kusini katika robo fainali za kombe la Shirikisho.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up