Lyrics

"Shirikisho la mpira wa miguu nchini Tanzania (TFF) limetupilia mbali mapitio ya shauri lililoombwa na MCHEZAJI Feisal Salum dhidi ya klabu ya soka ya Young Africans sports club katika kikao kilichofanyika siku ya tarehe 2 Machi 2023.

Katika kikao hicho mawakili wa pande zote mbili waliwasilisha hoja zao huku Fatma Karume akiwa miongoni mwa mawakili waliowasilisha hoja zao kwa upande wa Feisal.

Mapitio ya shauri Hilo yalifanyika mara baada ya sakata lililozua utata juu ya mchezaji Feisal ambaye alihitaji kuvunja mkataba na klabu hiyo ya Wananchi. Lakini pia klabu hiyo iligoma baada ya kusemekana kuwepo kwa baadhi ya vipengele vya kimkataba ambavyo vinamlazimu kiungo huyo kusalia Yanga mpaka mwisho wa mkataba wake mwaka 2024.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up