- 1:42
Bournemouth Vs Tottenham Hotspurs Ubashiri
Football Predictions-Mdundo Podcast
Lyrics
"Baada ya kupanda daraja katika msimu huu Bournemouth wanakwenda kuvaana na Tottenham Hotspurs katika uwanja wao wa nyumbani wa Vitality ambapo Bournemouth wao wako katika nafasi ya 14 na Spurs wakiwa katika nafasi ya 3 katika ligi ya Uingereza.Kuelekea mchezo huo ambao ni mzunguko wa 14 katika ligi hiyo kikosi cha mkufunzi Gary O’Neil kina jumla ya alama 13 huku vijana wa Antonio Conte wakiwa na alama 23 kwa maana ya utofauti wa alama 10 kati ya timu hizo mbili.
Kwa sasa bournemouth katika michezo miwili hawajafanikiwa kufunga na kuwafanya wapoteze michezo miwili, sare walipata katika michezo miwili na kushinda mchezo mmoja katika mechi tano za hapo nyuma huku wao Spurs wakishinda michezo miwili na kupoteza michezo mitatu huko EPL.
View more
More songs by Football Predictions-Mdundo Podcast
Real Madrid vs Atletico Madrid0:53
Real Madrid vs Barcelona1:28
Football Analysis2:46
Real Madrid vs Real Sociedad1:00
Cristiano Ronaldo, Lionel Messi1:07
Barcelona vs Real Madrid0:50
Yanga Vs Simba Sc Jumamosi hii1:33
Real Madrid vs Real Sociedad Predictions4:11
Man City vs Liverpool1:11
Barca Kuvaa nembo ya Drake le clasico0:37
Everton Football Club Bio1:58
Real Madrid vs Barcelona - LL 2003221:12
Inter vs Barcelona2:07
Liverpool vs Arsenal0:46
Kylian Mbappé 8 things you probably never knew about PSG star Kylian Mbappé4:40
Mancity Vs. Arsenal Highlights FREE Mp3 Download0:43
Manchester United Bio2:09
Orlando Pirates Vs Simba-Jumapili1:32
Girona vs Barcelona1:03
UEFA Nations Leauge Preictions 0906221:39
News
Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.
By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.
Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.