Lyrics

Mara baada ya kupanda daraja kwa mara ingine Tena Sasa Fulham wanakutanishwa Liverpool katika mzunguko wa kwanza kabisa wa Ligi kuu Uingereza. Mechi itakayochezwa Jumamosi katika uwanja Craven cottage.

Klopp akiwa amejihakikishia uwepo wa Sala ambaye ni kinara wa mabao kwa msimu uliopita amejiweka katika nafasi nzuri zaidi ya kushinda mechi hii pia kwa kusajili wachezaji mbalimbali imeongeza nguvu katika kikosi hicho.

Ijapo kuwa muunganiko wa Sala pamoja na Sadio Mane hautoonekana Mara baada ya Mane kwenda Bayern Munich ya huko Ujerumani
View more

Download music from your favorite artists for free with Mdundo. Mdundo started in collaboration with some of Africa's best artists. By downloading music from Mdundo YOU become a part of supporting African artists!!! Mdundo is financially backed by 88mph - in partnership with Google for entrepreneurs.

Mdundo is kicking music into the stratosphere by taking the side of the artist. Other mobile music services keep 85-90% of sales. What?!, Yes, the majority of the cash lands in the pockets of big telcos. Mdundo enables you to keep track of your fans and we split any revenue generated from the site fairly with the artists.

I am a musician! - Log in or Sign up