Lyrics

Hayawi hayawi Sasa yamekua. Ni baada ya kitambo Cha takribani miezi miwili ya kutamatika kwa Ligi kubwa duniani katika Soka. Jumapili hii mabingwa watetezi Manchester City wanaenda kuianza safari yao kwa kucheza mchezo wao wa kwanza na West Ham United.

Manchester City tayari wameshapoteza ushindi wa kwanza kwa kukubali kipigo Cha bao 3-1 dhidi ya Liverpool katika fainali za Ngao ya Jamii zilizochezwa wiki hii iliyopita huko king Power Stadium.

Katika mzunguko huu wa kwanza West Ham ndio wenyeji katika mchezo huo ambao wao Wanawakabisha City katika uwanja wao wa nyumbani wa London Stadium.
View more

Download music from your favorite artists for free with Mdundo. Mdundo started in collaboration with some of Africa's best artists. By downloading music from Mdundo YOU become a part of supporting African artists!!! Mdundo is financially backed by 88mph - in partnership with Google for entrepreneurs.

Mdundo is kicking music into the stratosphere by taking the side of the artist. Other mobile music services keep 85-90% of sales. What?!, Yes, the majority of the cash lands in the pockets of big telcos. Mdundo enables you to keep track of your fans and we split any revenue generated from the site fairly with the artists.

I am a musician! - Log in or Sign up