Lyrics

"Baada ya kichapo Cha bao 4 bila, Sasa Manchester United wanakaribishwa Emirates stadium na Arsenal katika mzunguko wa 34 EPL Kati ya ile 38 ili kukamilisha ligi.

The Gunner's Sasa wamekuwa wa Moto baada ya kuwachabanga The blues juzi bao 4-2 walipokaribishwa Stanford bridge kwa mjerumani Thomas Tuchel na kinda Nketia akionesha makali yake kwa kuweka bao 2 kambani

Wao United walishindwa kufurukuta kwa Majogoo wa London kwa kuruhusu bao 4 kambani na hii inawaweka katika hatua mbaya zaidi ya kutoshiriki Champions League msimu ujao.
View more

Download music from your favorite artists for free with Mdundo. Mdundo started in collaboration with some of Africa's best artists. By downloading music from Mdundo YOU become a part of supporting African artists!!! Mdundo is financially backed by 88mph - in partnership with Google for entrepreneurs.

Mdundo is kicking music into the stratosphere by taking the side of the artist. Other mobile music services keep 85-90% of sales. What?!, Yes, the majority of the cash lands in the pockets of big telcos. Mdundo enables you to keep track of your fans and we split any revenue generated from the site fairly with the artists.

I am a musician! - Log in or Sign up