Lyrics

"Jumanne ya EPL iliyojaa shauku ya kutaka kujua mwisho wa usiku wa Leo ni Nani anaenda kuongoza ligi kuu hiyo wakati 'Reds team' zinapokutana katika kusaka alama 3 muhimu sana kwao.

Katika uwanja wa Anfiel Majogoo wa London Liverpool wanapo wakaribisha mashetani wekundu Manchester United katika mechi ya ligi kuu hiyo EPL kuelekea mwishoni mwa msimu.

Katika mechi hii ushindi wa Liverpool utawafanya wawe kinara katika ligi hiyo na kuwashusha Manchester City katika nafasi ya kwanza waliyodumu kwa zaidi ya robo ya msimu
View more

Download music from your favorite artists for free with Mdundo. Mdundo started in collaboration with some of Africa's best artists. By downloading music from Mdundo YOU become a part of supporting African artists!!! Mdundo is financially backed by 88mph - in partnership with Google for entrepreneurs.

Mdundo is kicking music into the stratosphere by taking the side of the artist. Other mobile music services keep 85-90% of sales. What?!, Yes, the majority of the cash lands in the pockets of big telcos. Mdundo enables you to keep track of your fans and we split any revenue generated from the site fairly with the artists.

I am a musician! - Log in or Sign up