Lyrics

"Ukiwa ni Usiku wa derby Della Madonnina ambao utashuhudia Inter-milan watakapo kichapa dhidi ya AC-Milan katika nusu fainali za mzunguko wa pili wa Coppa Italia.

Uwanja wa Giuseppe Meazza ali-maarufu Kama San Siro unaomilikiwa na manispaa ya Milan ndio utatumika pia katika mzunguko huu wa pili wa nusu faili katika mechi hiyo ya Ac Milani dhidi ya Inter Milan.

Katika mechi hii Inter Milan wao wako Katika Hali nzuri ya wachezaji kwani hawana majeruhi Wala mchezaji anayeweza kukosa mechi hii.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up