Lyrics
Mguu pande mguu sawa, tembea, tembea
Nataka uwanja nitambe, Sogea, sogea
Wako wapi wapambe? Ooh kapotea, potea
Ngoma itambe hiyo kidedea, kidedea
Masharti ya mganga wameyakosea
View moreWamekuja kuzima kumbe wanachochea
Wanaopepea moto kolea kolea
Mizani mi ni wa kuchezea chezea
Zima redio mbao
Haiya, zima na mtandao
Haiya, sema nao piga bao
Haiya, sisi sio saa saizi yao
Vunja vibenge kimbiza mwenge kama desturi
Uso sawa wa kucheza umevalia msuli
Tatua gear razi utatuharibia shughuli
Miguu vizuri ulizia wananiitaga nguli
Kama unaimba, imba nikuitikie
Ngoma inanoga, kucheza mtu akupigie
Ucheke ulie, ishike iachie
Mwenzangu niambie, kaa chini utulie
Tumeishika, kamata sukuma
Tumeishika, kamata sukuma
Tumeishika, kamata sukuma
Tumeishika, kamata sukuma
Tumeishika(Shika)
Kamata(Kamata)
Shika(Shika)
Sukuma(Twende)
Tumeishika(Shika)
Kamata(Kamata)
Shika(Shika)
Sukuma(Twende)
Mbuzi kafungwa kwenye chuma cha reli
Boss kaamka chumba cha uskeli
Wanashaba baiskeli vipi sheli
Kiwanja hakiwezi ogopa matapeli
Ah survivor kwenye jungle commando
Ukijijua panya ukatafute pango
Endelea endelea kushikia bango
Tukuvue nguo, tunavua majingambo
Jembe la kulima, tifua tifua
Navua papa itakua kamba, dagaa, kibua
Mshike mshike segele langu unalijua
Ngoma inoge kelele zangu mpaka napasua
Panga pangua, ota otea
Ukitaka chukua, ngoja ngojea
Tokea, sogea, pokea, ongea
Siungoje usimuliwe na macho ya kujionea
Kama unaimba, imba nikuitikie
Ngoma inanoga, kucheza mtu akupigie
Ucheke ulie, ishike iachie
Mwenzangu niambie, kaa chini utulie
Tumeishika, kamata sukuma
Tumeishika, kamata sukuma
Tumeishika, kamata sukuma
Tumeishika, kamata sukuma
Tumeishika(Shika)
Kamata(Kamata)
Shika(Shika)
Sukuma(Twende)
Shika(Shika)
Kamata(Kamata)
Shika(Shika)
Sukuma(Twende)
Mbuzi kafungwa kwenye chuma cha reli
Boss kaamka chumba cha uskeli
Wanashaba baiskeli vipi sheli
Kiwanja hakiwezi ogopa matapeli