- 1:21
Benzema athibitisha kuachana na Ufaransa
Qatar World Cup 2022 News- Mdundo Alt
Lyrics
"Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ufaransa Karim Benzema, amethibitisha kuachana na timu yake ya Taifa masaa machache mara baada ya timu hiyo kushindwa kutetea ubingwa wao katika kombe la dunia nchini Qatar.Kupitia ukurasa wake wa Twitter Karim aliandika ya kuwa ""Nimefanya juhudi na makosa ambayo yamepekekea niwe hapa nilipo leo na najivunia! Nimeandika historia na ya kwetu anafikia ukingoni"". Ujumbe huu aliuambatanisha pamoja na picha yake akiwa amevaa jezi ya Ufaransa siku ya Jumatatu ikiwa pia ni siku yake ya kuzaliwa.
Mchezaji huyo aliyetimiza miaka 35 siku ya jumatatu siku moja mara baada ya kombe la dunia kufikia kikomo alikuwa miongoni mwa wachezaji waliotakiwa kuwepo katika kikosi cha Ufaransa wakati wa mashindano ya kombe la dunia nchini Qatar lakini alishindwa kushiriki mara baada ya kupata majeraha kabla ya mechi za kombe la dunia kuanza kutimua vumbi.
View more
Discover more artists
More songs by Qatar World Cup 2022 News- Mdundo Alt
- Argentina Lineup World Cup2:38
- FIFA Sports Highlihts0:54
- Argentina World Cup 20221:03
- Mitazamo mbalimbali kombe la Dunia kwa Ufaransa2:22
- Wanasoka watakaostafu World Cup3:15
- Shocking World Cup moments3:24
- Dider Deschamps - Benzema na France kuelekea Qatar2:07
- Qatar 2022 Group E review2:04
- Best EPL Players World Cup2:49
- Mbappe aweka rekodi mpya kombe la dunia Qatar2:30
- World Cup Football Prediction Netherlands vs Qatar WC 20221:00
- waingereza waliongara world cup1:44
- Japan Wins 3-1 against Croatia on Penalties1:47
- World Cup Football Prediction Wales vs England WC 20221:21
- World Cup Football Prediction Belgium vs Morocco1:01
- Qatar 2022 Group F review1:14
- Ukraine waja na ombi FIFA1:30
- Ronaldo Aiwakia ManU1:17
- Bruno Slams Referee0:46
News
- 6 Fun Facts World Cup 2022 - Mdundo Alt
10 December
- Denmark Vs Tunisia Live - Mdundo Alt
22 November
- World Cup Matches Today - Mdundo Alt
22 November
Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.
By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.
Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.