Lyrics

Baada ya kufanya mahojiano yake na Piers Morgan na kueleza hisia zake juu ya Manchester United na changamoto alizozipitia, sasa timu hiyo imetoa tamko juu ya moja kati ya washambuliaji wakali zaidi kwa muongo uliopita Cristiano Ronaldo na kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba.

Hili linaweza lisiwe jambo geni sana mara baada ya mchezaji huyo kutaka kuondoka katika klabu hiyo mashuhuri dunia wakati wa dirisha kubwa la usajili na timu hiyo kugoma na kusema ya kuwa bado ina mipango dhidi yake ikiwa chini ya kocha Erik Ten Hag.

Katika maelezo hayo klabu ya Manchester United iliandika ya kuwa …..Cristiano Ronaldo ameondoka kwa makubaliano ya pande zote mbili na pia klabu inamshukuru kwa mchango wake wa vipindi vyote viwili………’. Ikubukwe pia Ronaldo alijiunga na United mwaka 2003 akitokea Sporting Lisbon ya Ureno kabla ya kujiunga na Real Madrid ya Uhispania mwaka 2009
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up