- 2:03
Manchester united wakubaliana kuvunja mkataba na Cristiano Ronaldo
Qatar World Cup 2022 News- Mdundo Alt
Lyrics
Baada ya kufanya mahojiano yake na Piers Morgan na kueleza hisia zake juu ya Manchester United na changamoto alizozipitia, sasa timu hiyo imetoa tamko juu ya moja kati ya washambuliaji wakali zaidi kwa muongo uliopita Cristiano Ronaldo na kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba.Hili linaweza lisiwe jambo geni sana mara baada ya mchezaji huyo kutaka kuondoka katika klabu hiyo mashuhuri dunia wakati wa dirisha kubwa la usajili na timu hiyo kugoma na kusema ya kuwa bado ina mipango dhidi yake ikiwa chini ya kocha Erik Ten Hag.
Katika maelezo hayo klabu ya Manchester United iliandika ya kuwa …..Cristiano Ronaldo ameondoka kwa makubaliano ya pande zote mbili na pia klabu inamshukuru kwa mchango wake wa vipindi vyote viwili………’. Ikubukwe pia Ronaldo alijiunga na United mwaka 2003 akitokea Sporting Lisbon ya Ureno kabla ya kujiunga na Real Madrid ya Uhispania mwaka 2009
View more
More songs by Qatar World Cup 2022 News- Mdundo Alt
- Argentina Lineup World Cup2:38
- FIFA Sports Highlihts0:54
- Mitazamo mbalimbali kombe la Dunia kwa Ufaransa2:22
- Wanasoka watakaostafu World Cup3:15
- Argentina World Cup 20221:03
- Shocking World Cup moments3:24
- Qatar 2022 Group E review2:04
- Best EPL Players World Cup2:49
- waingereza waliongara world cup1:44
- Dider Deschamps - Benzema na France kuelekea Qatar2:07
- Mbappe aweka rekodi mpya kombe la dunia Qatar2:30
- World Cup Football Prediction Netherlands vs Qatar WC 20221:00
- Harry Kane Shines in Qatar0:54
- World Cup Football Prediction Wales vs England WC 20221:21
- World Cup Football Prediction Belgium vs Morocco1:01
- Qatar 2022 Group F review1:14
- France vs Poland Prediction0:56
- Ronaldo Aiwakia ManU1:17
- Japan Wins 3-1 against Croatia on Penalties1:47
- World Cup Football Prediction Spain vs Germany WC 20221:20
News
- 6 Fun Facts World Cup 2022 - Mdundo Alt
10 December
- Denmark Vs Tunisia Live - Mdundo Alt
22 November
- World Cup Matches Today - Mdundo Alt
22 November
Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.
By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.
Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.