Lyrics

Croatia wametinga hatua ya robo fainali mara baada ya kushinda kwa penalti 3-1 dhidi ya Japan katika mchezo ulioenda hadi katika dakika za nyongeza baada ya kumalizika kwa sare ya bao 1-1.

Katika kipindi cha kwanza Japan walitangulia kuliona lango la Croatia katika dakika ya 43 mara baada ya mshambuliaji Daizen Maeda kutikisa nyavu za wapinzani baada ya kupokea pasi Kutoka kwa Maya Yoshida.

Croatia wakaamua kuitetea nafasi yao mara baada ya kusawazisha ilipotimu dakika ya 55 bao lililofungwa na Ivan Perisic na kufanya mchezo kumaliziki kwa sare.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up