Lyrics

"Nyota wa soka mwenye asili ya Ureno na anayechezea timu ya Manchester united Cristiano Ronaldo hatimaye amevunja ukimya juu ya hisia zake ndani ya United wakati alipofanya mahojiano ya moja kwa moja na mtangazaji wa Talktv Piers Morgan.

Katika mahojiano hayo mshindi huyo wa tuzo tano za Ballon d'or alieleza ya kuwa anajisikia kusalitiwa ndani ya United na kuwa wapo watu wanaomlazimisha kuondoka katika klabu hiyo mashuhuri ya soka duniani.

Ronaldo aliwataja watu mbalimbali akiwemo kocha aliyepita wa klabu hiyo Ralf Rangnick na kusema ya kuwa hata hakuwa akimfahamu huku akieleza ya kuwa kwa kocha wa sasa Erik Ten Hag ya kuwa hawezi kuonesha heshima kwake kutokana na kocha huyo kumvunjia heshima.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up