Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!

Nay Wa Mitego
Support Nay Wa Mitego
Show your appreciation! Give a gift or directly support your favorite artist.

Nishaachaga3:07
We Don't Care3:20
Salamu Zao4:32
Bachela3:49
Hakuna Maisha Magumu3:21
Alisema3:29
Sijiwezi3:01
New Releases

Mapenzi feat RayDiance3:38
Nakula Ujana4:07
Mapenzi Au Pesa3:16
Hello4:50
Sina Muda3:47
Atakuoa Nani3:11
Tumerogwa3:10
Trending Songs

Buwooma2:44
In My Bed2:50
Baddie remix feat Shannnon, aaronix, Tojo3:14
Joy Is Coming3:08
Paver2:55
Top Afrobeats Songs

KAPEKE LONDON2:23
BIkola2:58
Ex Nkubilako ft DonMusa2:55
In My Bed2:50
CHAMPION GAL3:00
Trending Songs

Download Best of 2025 Amapiano Mix ft Marioo,Bien12:53
South Africa Amapiano #01 Mix : DJ Maphorissa, Kabza De Small, UPZ & DPK.14:07
Reggae Mix Lovers of Reggae mix Chris Martin, Busy Signal10:38
JoeBoy, Fireboy, Simi, Ruger #01 #naijabest #mdundomixes15:00
Rema, Omah Lay, Joeboy #01 #DjSummer #MdundoMixes12:52
Trending DJ Mixes
News
"NAY WA MITEGO AKOSOA TUZO ZA MUZIKI TANZANIA
Msanii kutoka Tanzania, Nay Wa Mitego hivi karibuni amekosoa waandaaji wa tuzo za Tanzania Music Awards ambazo huandaliwa na Baraza La Sanaa Tanzania, BASATA.
Hivi karibuni BASATA walitangaza orodha ya wanamuziki wanaowania tuzo za muziki Tanzania ambapo katik orodha hiyo wasanii kama Zuchu, Harmonize, Ali Kiba, Marioo walitajwa kuwania vipengele mbalimbali.
Kwa upande wa Nay Wa Mitego wimbo wake wa “Seketula” ambao amemshirikisha Runtown wa Nigeria ulitajwa kwenye kipengele cha collabo bora ya kimataifa.
Akizungumza hivi karibuni kwenye mahojiano na kituo cha redio hapa Tanzania, Nay Wa Mitego alidokeza kuwa hajapendezwa na kitendo cha BASATA kuweka wimbo wake kwenye tuzo hizo kwani tangu mwanzo alitangaza kutoshiriki kwenye tuzo hizo na ndio maana hakupeleka kazi zake kwa waandaaji wa tuzo hizo.
“Sijawahi ku-submit mimi kushiriki kwenye tuzo zao lakini wameweka wimbo wangu kwenye category lakini mimi nilishawahi kusema sitawahi kushiriki kwenye tuzo zozote zinazoandaliwa na kitu kinaitwa BASATA. Wame-submit wimbo wangu wa Seketula ambao nimemshirikisha Runtown kiukweli kabisa sijapenda” alizungumza msanii huyo.
Wasanii wengine waliojitokeza kukosoa tuzo hizo ni pamoja na Mbosso, Rayvanny, Baba Levo, Moni Centrozone, Baraka The Prince na wengineo wengi”
"

