Lyrics

"Mshambuliaji kutokea timu ya taifa ya Ufaransa, Kylian Mbappe ameibuka mshindi wa tuzo ya mfungaji bora katika mashindano ya kombe la dunia mara baada ya kumaliza mashindano hayo kwa jumla ya mabao 8 na bao moja likipatikana katika mikwaju ya Penalti.

Mbappe mwenye miaka 23 alianza kuichezea timu yake ya Taifa ya Ufaransa katika kombe la dunia lililofanyika Urusi mwaka 2018 akiwa na miaka 19 pekee.

Katika mashindano ya kombe la dunia nchini Urusi mchezaji huyo alifanikiwa kufunga jumla ya mabao 4 katika mashindano hayo huku Ufaransa wakiibuka mabingwa wa kombe hilo kwa mara ya pili tangu mwaka 1998. Mbali na hayo pia baada ya mashindano hayo kuisha kinda huyo wa kipindi hicho aliondoka kama mshindi wa tuzo ya mchezaji bora mwenye umri mdogo.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up