Lyrics

Zikiwa zimebaki ziku chache macho yote yaweze kugeukia kombe la dunia vikosi mbalimbali vya timu za Taifa vimeendelea kutaja wachezaji wake. Moja ya timu hizo ni pamoja na Ufaransa ambao wao ndio mabingwa watetezi wa kombe hilo la dunia. Jumatano ya wiki hii Ufaransa imetaja kikosi cha wachezaji 26 ambao watashiriki kombe hilo la dunia.

Wakiwa na kocha wao aliowafanikisha kuchukua kombe la dunia nchini Urusi mwaka 2018 Dider Deschamps kwa upande wake hakuna mabadiliko aliyoyafanya kwa walinda mlango kwani Alphonse Areola wa West Ham, Steve Mandanda wa pamoja na Hugo Lloris ambaye pia ni Kapteni wa kikosi hicho cha Ufaransa wote wataelekea Qatar.

Marekebisho ya hali ya juu yameanza kujitokeza katika safu ya mabeki wa timu hiyo kwani wachezaji watano katika kikosi hicho ni wapya na hawakuweza kushiriki kombe la dunia lililopita na wachezaji hao ni kama vile William Saliba wa Arsenal, Theo Hernandez kutokea Ac Millan, Ibrahima Konate wa Liverpool,Jules Kounde kutokea Fc Barcelona, pamoja na Dayot Upamecano wa Bayern munich.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up